Zitto Kabwe atoa tamko rasmi sakata la Mgombea Urais kati Lissu na Membe

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuber Kabwe amesema October 3,2020 Vyama Vikuu vya Upinzani nchini vinataraji kufanya mkutano wa kumsimamisha mgombea Urais mmoja kwa Jamhuri ya Muungano ambapo katika mkutano huo wanaungana kuinadi Ilani moja na tayari vikao vya maamuzi vimeshafanyika.
“Mazungumzo yetu ya namna gani?, tutashirikiana vipi? yamekamilika October3, 2020 katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke DSM Vyama Vikuu vya Upinzani vitafanya mkutano wa hadhara kutangaza makubaliano tuliyofikia” Zitto Kabwe Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *