Wenye Virusi Vya corona Nchini Kenya Wafika 197

Idadi ya visa vya waathirika wa ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia 197, baada ya hii leo kutangaza visa vipya sita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *