Waziri Mkuu Mstaafu,majaliwa Aapa Kuwa Mbunge Wa Ruangwa

Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa akipokea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kanuni za Kudumu za Bunge kutoka kwa Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai wakati alipoapa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 10, 2020.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *