Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Uapisho Wa Rais Wa Msumbiji, Filipe Nyusi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati akiondoka nchini, katika uwanja wa Julius Nyerere, kuelekea Msumbiji kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *