Waziri atoa muongozo maonyesho ya Sabasaba kipindi hiki cha Corona

Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Jumuiya za Wafanyabiashara na Wananchi wote kwa ujumla kuwa inaendelea na maandalizi ya Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Biashara ya DSM yanayotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 13 Julai, 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl. J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *