Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 649….Waliopona ni 207, Vifo 30

Visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Kenya vimeongezeka na kufikia 649, baada ya hii leo kutangaza visa vipya 28.

Aidha idadi ya vifo navyo imeongezeka na kufikia 30, huku waliopona wakifikia 207.

Ministry of Health

@MOH_Kenya
COVID-19 UPDATE
✔️1,611 samples tested today
✔️21,041 total samples tested so far
✔️28 new positive cases today
✔️Total confirmed cases stand at 649
✔️5 recoveries today
✔️Total recovered stands at 207
✔️ 1 fatalities today
✔️Total fatalities are 30#KomeshaCorona update.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *