Wabunge waliopo Dar es Salaam watakiwa kuripoti Polisi.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *