Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatoa mfano wa karatasi ya kupigia kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jana Oktoba 15, 2020 imetoa mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa nafasi ya urais na makamu wa rais, kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Jumatano 28 Oktoba 2020.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *