TANZANIA
RAIS WA KWANZA WA ZAMBIA

TANZIA: Rais wa kwanza wa Zambia Kenneth Kaunda afariki dunia.

Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda amefariki dunia leo akiwa na miaka 97.

 

Kenneth David Kaunda (anafahamika zaidi kama KK).

 

Siku chache zilizopita, Dk. Kaunda alilazwa katika Hospitali ya Maina Soko jijini Lusaka kufuatia maradhi yaliyokuwa yanamsumbua kwa siku kadhaa.

 

Kaunda aliyezaliwa April 28, 1924, aliitawala Zambia kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 1991

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *