Tanzania Yaondoa marufuku ya safari za ndege za Kenya kuingia Hapa Nchini

Tanzania imeondoa marufuku ya safari za ndege za Kenya kuingia kwenye anga lake iliyokuwa imeiweka  baada ya nchi ya Kenya kuondoa sharti la kuwaweka karantini siku 14 Watanzania wote wanaoingia nchini humo. 
taarifa hii imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *