Na Gasper Charles-Pemba MTANDAO wa kupinga udhalilishaji Wilaya ya Mkoani Pemba umefanikiwa kutoa elimu ya umuhimu wa kuripoti kesi za udhalilishaji na kutoa ushahidi mahakamani kwa zaidi ya wanajamii 2,060 katika Shehia 22 za Wilaya hiyo kuanzia mwezi Mei hadi Augusti mwaka huu. Wajumbe wa mtandao huo wamebainisha hayo wakati …
Read More »Tag Archives: Zanzibar
Zanzibar Kulegeza Masharti Ya Kupambana na Corona
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amesema serikali inakusudia kulegeza masharti yaliyowekwa Zanzibar ya kupambana na maradhi ya virusi vya Corona wakati wowote kuanzia sasa. Rais Shein ametoa kauli hiyo katika salamu zake za Eid kwa wananchi wa Zanzibar baada ya kumalizika …
Read More »Rais Magufuli Kuanza Ziara Ya Kikazi Visiwani Zanzibar leo
Rais Magufuli aliyekuwa mapumzikoni nyumbani kwake, Chato mkoani Geita amewasili jana Alhamisi Januari 9, 2020 jijini Dar es Salaam. Mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na mkewe, Janeth, Rais Magufuli alisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika uwanja huo. …
Read More »Wajumbe wa Kamati ya hamasa wa timu ya Taifa Zanzibar watangazwa
Mwenyekiti wa kamati ya hamasa ya timu ya taifa ya Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahmoud ametangaza wajumbe wa kamati hiyo itakayofanya kazi mbali mbali kufanikisha ushindi wa timu hiyo katika mashindano ya chalenji yanayotarajiwa kuanza Disemba 1 nchini Uganda. Kamati hiyo yenye wajumbe 19 wakiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa, …
Read More »