Tag Archives: YAWEKA REKODI YAKE BONGO

MWADUI FC MAJANGA, YAWEKA REKODI YAKE BONGO

KIKOSI cha Mwadui FC kimekuwa kwenye majanga baada ya kuyeusha pointi sita mfululizo kwa kupokea vipigo vikubwavikubwa. Kikosi hicho kimeweka rekodi ya kukubali vipigo vikubwa mara mbili mfulizo ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21. Kwenye mechi hizo mbili mfululizo ambapo benchi alikaa Khalid Adam ameshuhudia vijana wake …

Read More »