Tag Archives: YANGA NA SIMBA

Serikali yatoa angalizo kuelekea dabi ya Kariakoo

Serikali imesema imejiandaa kukabiliana na mianya yote ya upigaji iliyokuwa ikiwanufaisha wachache na kusababisha Serikali kukosa mapato stahiki katika tozo rasmi ya malipo halali ya viingilio viwanjani. Katibu mkuu  wa wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt. Hassan Abbas amesema, kuelekea mchezo wa watani sambamba na mchezo wa kimataifa …

Read More »