Tag Archives: YANGA

Mkwasa ataja sababu ya Yanga kufungwa na KMC

Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa amesema kuwa wachezaji wake hawakuwa na utimamu wa kimchezo na kupelekea kufungwa na KMC katika mchezo wa kirafiki. Akizungumza baada ya mchezo huo, Mkwasa amesema kuwa uzembe wa wachezaji wake ulipelekea kupoteza mechi hiyo, huku akiwapongeza KMC kwa mchezo waliouonesha. “Tumefungwa kutokana na …

Read More »