Tag Archives: Wizara Ya Fedha Msimamizi Rasmi Wa Wanamipango Nchini

Wizara Ya Fedha Msimamizi Rasmi Wa Wanamipango Nchini

Wizara ya Fedha na Mipango imeanza rasmi kuisimamia Kada ya Wanamipango nchini ili kuwalinda na kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ya kupanga na kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo nchini bila kuingiliwa. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kufunga Kongamano la Wanamipango la Mwaka 2020, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango …

Read More »