Tag Archives: Wizara Ya Ardhi Yazindua Siku Maalum Ya Mlipa Kodi

Wizara Ya Ardhi Yazindua Siku Maalum Ya Mlipa Kodi

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua rasmi siku Maalum ya Mlipa Kodi ya Pango la Ardhi itakayoendeshwa katika mikoa yote ya Tanzania. Uzinduzi huo ambao ni mkakati maalum wa Wizara ya Ardhi kuhamasisha wamiliki wa ardhi kulipa kodi ya pango la ardhi ambapo na utekelezaji wake ulianza …

Read More »