Tag Archives: Wivu Wa Mapenzi Wa Sababisha Kifo Cha Mwanamke Shinyanga

Wivu Wa Mapenzi Wa Sababisha Kifo Cha Mwanamke Shinyanga

Mkazi wa Didia Eliya Paulo Shija (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Tuhuma ya Kumuua Mke wake Mariam Juliasi (26) kwa kumchoma na kisu sehemu za shingoni usiku akiwa amelala akimtuhumu kuwa si mwaminifu katika ndoa yao. Taarifa iliyotolewa Oktoba 11,2020 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga (ACP) …

Read More »