Tag Archives: wchimbaji

Serikali wilayani kahama kuyashikilia magari ya wachimbaji wadogo

Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imesema itayashikilia magari yote ya wachimbaji wadogo wa dhahabu ambao wanakaidi agizo la serikali la kusimamisha uchimbaji wa dhahabu katika eneo la shule ya  Msingi Mwabomba kata ya Idahina halmashauri ya Ushetu. Hayo yamesemwa leo mjini Kahama  na Mkuu wa wilaya hiyo, ANAMRINGI MACHA wakati …

Read More »