Tag Archives: Waziri wa Ujenzi Mhandisi Isack Kamwelwe azindua kichwa cha treni

Waziri wa Ujenzi Mhandisi Isack Kamwelwe azindua kichwa cha treni

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amezindua kichwa kimoja cha treni kati ya saba vilivyokuwa vinakarabatiwa katika karakana ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), ukarabati ambao umegharimu sh. bilioni 15 za Kitanzania. Mbali na hilo, Waziri Kamwelwe amesema serikali inatarajia kupokea mabehewa ya reli ya kisasa katika …

Read More »