Tag Archives: waziri mkuu

WAZIRI MKUU-Serikali Kuimarisha Usafiri Wa Majini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha Watanzania wafanye biashara na mataifa ya nje. “Malengo yetu ni kuruhusu mataifa ya nje yafanye biashara na Tanzania na  kuruhusu Watanzania wasafiri kwenda hukohuko kuona na kujifunza ili warudi hapa na taaluma …

Read More »