Tag Archives: Wauguzi Wakumbushwa Kutumia Lugha Nzuri Wanapotoa Huduma

Wauguzi Wakumbushwa Kutumia Lugha Nzuri Wanapotoa Huduma

Wauguzi na wakunga nchini wametakiwa kutumia lugha nzuri wanapokuwa wakiwahudumia wagonjwa kwani kwa kufanya hivyo ni kinyume na maadili na miiko ya kazi yao. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Ziada Sellah wakati akiongea na Wauguzi …

Read More »