Tag Archives: Watu 58 wakamatwa wakidaiwa kuhusika na vurugu Zanzibar

Watu 58 wakamatwa wakidaiwa kuhusika na vurugu Zanzibar

Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linawashikilia watuhumiwa 58 wa vurugu zinazodaiwa kuhusisha itikadi za kisiasa huku wananchi saba wakijeruhiwa katika tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita  katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Akizungumza leo na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Kamishna wa …

Read More »