Tag Archives: Watoto wa Donald Trump Wawatupia Lawama wanachama wa Republican kwa ‘usaliti’ na Kutomuunga Mkono Baba Yao

Watoto wa Donald Trump Wawatupia Lawama wanachama wa Republican kwa ‘usaliti’ na Kutomuunga Mkono Baba Yao

WATOTO wawili wa kiume wa Rais Donald Trump wamewatupia lawama wanachama wa Republican kwa kutomuunga mkono baba yao anayekabiliwa na ushindani mkali kutetea mhula wa pili madarakani. Mtoto mkubwa waTrump, Don Jr amekikosoa chama hicho kwa kuwa “dhaifu”. Ndugu yake Eric ameonya: “Wapiga kura wetu hawatawahi kuwasahau mkijifanya wanyonge!” Hatua …

Read More »