Tag Archives: watalii

Watalii Waanza Kutua Nchini Tanzania Baada ya Anga Kufunguliwa

WAZIRI wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano mhandisi ISAACK KAMWELWE amesema ndege ya kwanza iliyobeba watalii kutoka Ugiriki imetua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)baada ya kufungua anga ya Tanzania. Hatua hiyo imefuatia baada ya serikali kuruhusu ndege zote za kibiashara,misaada,kidiplomasia ,ndege za dharura na ndege maalum kuruka,kutua na kupita …

Read More »