Tag Archives: Wataalam 16

Wataalam 16,000 Sekta Ya Kilimo Wafundishwa

Wizara ya Kilimo imesema mafanikio makubwa yamepatikana nchini katika kuzalisha wataalam wa Kilimo kupitia vyuo vyake na kufanya sekta ya Kilimo kuchangia asilimia 28.2 ya pato la Taifa. Kauli imetolewa leo (29.06.2020) mjini Morogoro na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya wakati alipofungua kikao kazi cha siku mbili cha …

Read More »