Tag Archives: Wanawake wanaongoza kudhalilishwa mtandaoni

Wanawake wanaongoza kudhalilishwa mtandaoni

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imesema Wanawake wanaongoza kwa kudhalilishwa mitandaoni Nchini Tanzania kutokana na kuwa na tabia za kupiga picha zenye utata na kuzituma mitandaoni pamoja na kutumia simu za wapenzi wao kupiga picha za utupu. Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria na Masharti ya Leseni, Dr. …

Read More »