Tag Archives: Wananchi Wanapaswa Kujitokeza Kwa Wingi Kupiga Kura

Wananchi Wanapaswa Kujitokeza Kwa Wingi Kupiga Kura

Joto la uchaguzi linaendelea kupanda wakati huu ambapo Tanzania inaelekea kufanya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, ikiwa ni uchaguzi wa sita tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini mwaka 1995. Zoezi la kampeni linaelekea ukingoni, huku wagombea kutoka vyama mbalimbali vya siasa vikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama …

Read More »