Tag Archives: Wanamgambo 275 wa Taliban wajisalimisha Afghanistan

Wanamgambo 275 wa Taliban wajisalimisha Afghanistan

Wanamgambo 275 wa kundi la Taliban wameripotiwa kuacha silaha na kujisalimisha kwa serikali katika mikoa ya Sar-i Pul na Balkh kaskazini mwa Afghanistan. Naibu Msemaji wa Wizara ya Ulinzi Fawad Aman alitoa maelezo na kuelezea kwamba wanamgambo 150 wa kundi la Taliban walijisalimisha serikalini wakiwa na silaha zao mjini Balhab …

Read More »