Tag Archives: Wanafunzi waomba kushiriki kuzima moto Mlima Kilimanjaro

Wanafunzi waombwa kushiriki kuzima moto Mlima Kilimanjaro

Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro. Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za kuuzima. Kwa kuwa moto bado unaendelea Mkuu …

Read More »