Tag Archives: Waliowauzia Wafugaji Ng’ombe Wasio Na Sifa Wasakwa

Waliowauzia Wafugaji Ng’ombe Wasio Na Sifa Wasakwa

Serikali imeagiza kutafutwa kwa watu waliohusika kuwauzia kwa njia ya mkopo wafugaji ng’ombe wa maziwa waliozaa tayari na kuwahadaa wafugaji kuwa ng’ombe hao hawana uzao wowote (mitamba) ili wawapatie wafugaji ng’ombe wenye sifa kama walivyokubaliana katika mikataba. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema hayo katika Wilaya …

Read More »