Tag Archives: WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021

Waziri Jafo atangaza waliochaguliwa kidato cha kwanza 2021

Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021. Kauli hiyo imebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati akitoa …

Read More »