Tag Archives: WALIMU

Walimu 4,046 wa shule za msingi na sekondari wafukuzwa kazi

Katibu Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Winifrida Rutaindurwa amesema jumla ya walimu 4,046 wa shule za msingi na sekondari wamefukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo utoro kazini, kukiuka maadili na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi. Rutaindurwa ameyasema hayo jana  katika mkutano wa siku mbili uliolenga …

Read More »