Tag Archives: Wakulima Wa Parachichi Wapatiwa Elimu

Wakulima Wa Parachichi Wapatiwa Elimu

WAKULIMA wa Parachichi katika mji wa Mafinga Wilayani Mufindi Mkoani Iringa wamepatiwa elimu ya Kilimo bora cha zao hilo ambalo hivi sasa lina soko kubwa ndani na nje ya nchi. Elimu hiyo imetolewa na Kampuni ya Agrigrow Tanzania LTD yenye makao makuu yake katika Mji wa Morogoro ambayo wana lengo …

Read More »