Tag Archives: Wahandishi wa umwagiliaji wa mikoa wameagizwa kujipanga kwa kasi kusimamia na kutekeleza agizo la Serikali ya Awamu ya Tano la kuhakikisha eneo la kilimo cha umwagiliaji linaongezeka toka hekta 694

Wahandishi wa umwagiliaji wa mikoa wameagizwa kujipanga kwa kasi kusimamia na kutekeleza agizo la Serikali ya Awamu ya Tano la kuhakikisha eneo la kilimo cha umwagiliaji linaongezeka toka hekta 694,715 hadi kufikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya ametoa agizo hilo jana (16.09.2020) …

Read More »