Tag Archives: Wahamiaji Haramu 6 Wakamatwa Njombe

Wahamiaji Haramu 6 Wakamatwa Njombe

Wahamiaji haramu 6 waliokuwa wameweka kambi katika Makaburi ya Kipagamo Nje kidogo ya mji wa Makambako wamekamatwa na kikosi cha uhamiaji mkoani Njombe wakitokea nchini Ethiopia . Mbali na kuwatia nguvuni wahamiaji hao , kikosi hicho pia kinawashikilia watanzania 2 kwa tuhuma za kuhusika biashara haramu ya usafirishaji wa raia …

Read More »