Tag Archives: wagonjwa wapya wa corona tanzania

Wagonjwa wapya 14 wa corona wabainika Tanzania

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watu 14 ambao ni Watanzania wamepimwa na kubainika kuwa na virusi vya corona. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Aprili 13, 2020 na Waziri Ummy imeeleza idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo imeongezeka kutoka watu 32 hadi kufika 46. Waziri Ummy …

Read More »