Tag Archives: wafungwa

Afghanistan yawaachilia huru wafungwa 100 wa Taliban

Wafungwa 100 wa kundi la Taliban wameachiwa kutoka gereza la kijeshi nchini Afghanistan hii leo, kama sehemu ya jibu la serikali baada ya wanamgambo wa Taliban kutangaza usitishwaji vita kwa siku tatu kusherehekea Eid ul-Fitr. Serikali ya Afghanistan inapanga kuwaachia huru hadi wafungwa 2,000 wa kundi la Taliban kama ishara …

Read More »