Tag Archives: wafugaji

Wafugaji kunufaika kwa kupewa mapori ya malisho yasiyoendelezwa.

SERIKALI imesema imeanza kuweka utaratibu wa kugawa mapori yasiyoendelezwa kwa wafugaji ili wapate maeneo ya kulishia mifugo. Pia, inaendelea kuwachimbia mabwawa ya kunyweshea maji mifugo hiyo ili kuondoa tatizo la ukosefu wa malisho na migogoro baina ya wakulima na wafugaji nchini. Hayo yalibainishwa jana wilayani Misungwi mkoani Mwanza na Mjumbe …

Read More »