Tag Archives: Wafanyabiashara wa Madini Mikononi mwa TAKUKURU

Wafanyabiashara wa Madini Mikononi mwa TAKUKURU

Wafanyabiashara wakubwa saba wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kufanya biashara ya madini ya vito kwa njia ya magendo. Wanatuhumiwa kujihusisha na utoroshwaji wa madini kwenda nje ya nchi na ukwepaji wa kodi, kinyume cha sheria, kanuni, …

Read More »