Tag Archives: Waendesha bodaboda kuwa mabalozi wazuri wa ulinzi na usalama

Waendesha bodaboda kuwa mabalozi wazuri wa ulinzi na usalama

Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wameaswa kuwa mabalozi wazuri wa ulinzi na usalama kwa kuhakikisha wanashirikiana na vyombo vya dola kufichua waharifu katika jamii. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula wakati akizungumza na waendesha pikipiki wa kata ya …

Read More »