Tag Archives: wadau

Serikali Wilayani Kahama imewaomba wadau kuchangia vifaa kinga na vifaa tiba kukabiliana na corona

Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imewaomba wadau mbalimbali kuendelea kusaidia vifaa vinavyosaidia kujikinga na janga la Corona ili viweze kusaidia wananchi hasa kwenye sehemu zenye mikusanyiko kama vile Sokoni, Hospitalini na gulioni. Wito huo Umetolewa¬† mjini Kahama na Mkuu wa wilaya hiyo ANAMRINGI MACHA wakati akipokea¬† msaada wa mapipa 15 …

Read More »