Tag Archives: wachina

Uganda: Wachina waliotoroka karantini wafikishwa Mahakamani

Mahakama ya Nakawa Jijini Kampala Uganda, imewashtaki raia 6 wa China baada ya kutoroka kutoka katika moja ya hoteli nchini humo, ambako waliwekwa Karantini. Hakimu Mkuu wa Mahakama hiyo, Ruth Nabaasa amewataja raia hao kuwa ni Huang Haiguiang, Li Chaochyan, Lin Xiaofang, Qin Shening, Liang Xinging na Huang W, ambapo …

Read More »