Tag Archives: Wabunge CHADEMA Watangaza Kurudi Bungeni

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa muda wa Wabunge wake kukaa karantini kwa siku 14, umemalizika siku ya jana na kwamba leo Mei 15, 2020, wanatarajiwa kurejea Bungeni na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, na kusema …

Read More »