Tag Archives: Waangalizi wa Kimataifa: Madai ya Trump Hayana Msingi

Waangalizi wa Kimataifa: Madai ya Trump Hayana Msingi

Mkuu wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani amesema jana kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana msingi, yanayosema kwamba kumefanyika udanganyifu katika uchaguzi huo. Michael Georg Link anayeongoza ujumbe wa Shirika la Usalama na Ushirikiano barani Ulaya (OSCE) ameongeza kuwa madai ya Trump yanadhoofisha imani ya …

Read More »