Tag Archives: Waandamanaji kadhaa wakamatwa nchini Belarus

Waandamanaji kadhaa wakamatwa nchini Belarus

Watu kadhaa wamekamatwa nchini Belarus jana Jumapili wakati wa maandamano ya umma dhidi ya rais Alexander Lukashenko ambaye alishinda muhula wa sita katika uchaguzi unaozingatiwa na wengi kuwa uliandamwa na wizi wa kura Mamia kwa maelfu ya watu walikusanyika kwa wiki ya kumi mfululizo kwenye mji mkuu wa Belarus, Minsk, …

Read More »