Tag Archives: Viwnada

Serikali Imeilekeza TPDC Kushawishi Viwanda Nchini Kutumia Gesi Asilia

Serikali imeelekeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kushawishi viwanda mbalimbali nchini kutumia gesi asilia inayozalishwa hapa nchini hatua itakayosaidia kupunguza matumizi ya nishati zinazoharibu mazingira. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima ametoa maelekezo hayo alipotembelea miradi ya kuchakata gesi katika maeneo …

Read More »