Tag Archives: viwanda

Viwanda Vya Nguo, Glasi Kujengwa Simiyu….Watu 2000 Kupata Ajira

Mwekezaji kutoka  nchini Uturuki, Bw. Mustafa Albayram ameahidi kujenga viwanda viwili; kiwanda cha nguo na kiwanda cha kutengeneza glasi katika eneo la Isanga Mjini Bariadi Mkoani Simiyu mwaka 2020, mara baada ya kuridhishwa na mazingira ya uwekezaji  ambapo viwanda hivyo vinatarajia kuajiri wananchi  takribani 2000. Albayram ameyasema hayo Novemba 13, …

Read More »