Tag Archives: Viongozi wa Dini watoa ujumbe huu kwa wagombea

Viongozi wa Dini watoa ujumbe huu kwa wagombea

Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, 2020, wanasiasa wameaswa kutotumia lugha za matusi, vitisho na kejeli ili kumaliza mchakato huo salama bila kuivuruga amani iliyopo nchini. Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadj Mussa. Hayo yameelezwa na viongozi wa dini mbalimbali nchini, katika Kongamano la Amani la Viongozi …

Read More »