Tag Archives: Viongozi wa dini wasisitiza amani uchaguzi mkuu.

Viongozi wa dini wasisitiza amani uchaguzi mkuu.

Samirah Yusuph Simiyu. Viongozi wa madhehebu mbali mbali¬† pamoja na wazee maarufu mkoani Simiyu wamekutana kujadili mwenendo wa amani nchini kuelekea uchaguzi mkuu. Viongozi hao wakiongozwa na mchungaji Martin Nketo wamekutana wakiwa na dhumuni la kuhamasisha wananchi kupiga kura octoba 28 mwaka huu pamoja kuhawakumbusha umuhimu wa kuilinda na kuitunza …

Read More »