Tag Archives: Viongozi wa Dini Wampongeza JPM kwa Uongozi Uliotukuka

Viongozi wa Dini Wampongeza JPM kwa Uongozi Uliotukuka

Viongozi wa dini jijini Dodoma wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa uongozi wake uliotukuka. Akizungumza jana jijini Dodoma, Askofu wa Kanisa la EAGT Ipagala jijini humo, Evance Chande alisema kuwa Rais John Pombe Magufuli ni kiongozi mwenye uthubuti, mwenye kufanya maamuzi magumu ambayo …

Read More »